iLove Stories

A Free Portal for Read online Stories

Latest

Showing posts with label Swahili. Show all posts
Showing posts with label Swahili. Show all posts

Monday, 4 May 2020

May 04, 2020

Kiama Cha Mkopaji Story in Swahili Language



Hapo zamani za kale palikuwa na mzee mmoja aitwae Kanyawi ambaye alihamia kijiji cha Ntenga kutoka Usambaani. Mzee huyu alikuwa anapenda sana kunywa pombe na hata alipomaliza fedha zake zote aliamua kuweka rehani chochote alichonacho. Hakika mzee huyu alikuwa kero sana kwa familia yake kwani kila aliyekopwa alifika nyumbani kwake na kudai deni lao. Kutokana na heshima waliyokuwa nayo watoto wake na mke wake; walilazimika kulipa madeni mara kwa mara. Ilifikia wakati ambapo mke na watoto wote ilibidi kubuni miradi mbalimbali ili waweze kulipa madeni na kusomeshana. Mtoto mkubwa aliyeitwa Mwasu alibuni mradi wa kufuga nyuki na hivyo kuchonga mizinga ya nyuki mizuri sana pale kijijini.Siku moja kama ilivyokuwa kawaida ya Mzee Kanyawi; alikopa tena pombe ya dengelua yenye thamani ya shilingi elfu tatu. Baada ya kudaiwa alimuambia aliyemkopesha kuwa afike nyumbani kwake kesho yake ili ampe fedha zake. Keshoye yule aliyemkopesha alimpigia mzee Kanyawi simu kuwa yupo njiani kwenda kuchukua fedha zake.Mzee kanyawi kusikia hivyo aliangalia juu ya mti uliokuwa karibu na nyumba yake na kuona mzinga mpya wa nyuki ambao bado haujaingliwa na nyuki na kumwambia mke wake kuwa kuna watu wanakuja kumuua na hivyo ataingia ndani ya ule mzinga na afungiwe mle ili wale wanaomdai wasimuone. Kutokana na upendo mkubwa kwa mumewe alikubali ombi lile na kumfungia mumewe ndani ya mzinga wa nyuki. Punde si punde Yule mzee Mwasu alifika na kuulizia alipokuwa mzee Kanyawi. Mke wake alimtetea na kusema kasafiri ghafla hadi wiki ijayo. Mzee Mwasu alisononeka sana na kuamua kuchukua ule mzinga uliokuwa juu bila kujua kuwa yule mzee alikuwa ndani yake na kuondoka nao hadi nyumbani kwake. Alipofika kwake Mzee Mwasu aliulizwa na mkewe iwapo alifanikiwa kupata fedha zile na kumwambiwa kuwa hakumkuta lakini aliamua kuchukua mzinga wake mpya ili waupasue na kupata kuni za kupikia kwani yule mzee sio mlipaji. Mzee Mwasu alimtaka kijana wake wa kazi achukue shoka na kupasua ule mzinga ili wapate kuni za kupikia chakula. Hadi hapo yule mzee Kanyawi alikuwa kimya ndani ya mzinga akisubiri jioni ili atoke na kurudi kwake.Kijana yule wa “miraba minne” alichuka shoka na kulishushia kewnye mzinga ule na “ghafla” damu zilitapakaa kila mahali. Walipoangalia vizuri waliona kuwa ni yule mzee Kanyawi kapasuliiwa kichwa. AMA KWELI KIAMA CHA MKOPAJI KILIMTOA ROHO BILA KUOMBA MAJI.XXXXXXX MWISHO XXXXXXHadithi hii imetungwa na Sekiete Mtana. Darasa la sita Shule ya Msingi Ushindi.

Friday, 1 May 2020

May 01, 2020

HATIA-01 and 02 Full Story in Swahili Language by iLvStories


HATIA-01
"OFUNKWE OSHANAA! OFUNKWE OSHANAA!",ni sauti za kiume zikinena kwa pamoja na kuendelea kuyarudia mara nyingi,lenye maana ya kuwa ULITAKALO NA LIWE. Mavazi marefu meusi yalioficha miili yao na kuonekana nusu uso kwanzia pua mpaka kidevu,vishindo vya makoleo vikisikika kuchimba shimo. Watu watano wanafanya shughuli ya uchimbaji. Anaonekana kijana mmoja mtanashati mwenye mwili wa kuvtia wenye misuli mikubwa kiasi.
Baada ya muda linapatwa kutolewa jeneza na kufunguliwa na mmoja kati ya wale wenye mavazi anamvisha cheni na kamba shingoni yule kijana.
Kwa hali ya ujasiri yule kijana anaingia ndan ya lile jeneza lenye mwili wa mwanamke na kuubaka mwili.
Huku wale watu wakinena,"OFUNKWE OSHAANAA!",kila mara.......
TUKUTANE SEHEMU IJAYO.......





Msongamano wa watu ni mkubwa huku zikiwa zmetawala shughuli za kibiashara za nafaka,mazao,mbogamboga n.k."Oya vipi mzee baba",salamu za watu wawili walioshibana sana."Mwanang leo biashara ngumu hadi saa tano hii mzigo upo vilevile!","Baba! We acha tu".Kwa muda ukimya unawatawala,"Eeeh nmekumbuka vipi kile kiswaswadu cha jana ulimaliza kazi mdogo wang au ndo kumbwela"."Karimu daah kwa kuchunguza mambo wewe aah!",bila kutarajia kila Joe anabaki mdomo wazi akiduwaa."Maembe unauza bei gani we kaka ,usikii au ?","Oya wewe vipi wateja huwaoni ama?",Karimu anamshtua mwenzake.Wale wadada wawili wanashauriana kwenda meza nyngne ila Karimu anawaomba radhi na kuwahudumia bila tatizo nao wanaridhika ila Joe akiwa bado anawashangaa."Mwanangu unatatizo gani ? ,mpaka wateja wanataka kuondoka!","Inamaana ujaona ama,af kwanza Karimu sijapenda yani mi ndo unaniita kijakaz wako wakat hii ni biashara yangu".Katika mazungumzo yao Karimu anamshtusha Joe kwa kuchangamkia fursa na kupata namba ya mmoja wa wale wadada,ila Joe anambishia ,"Wewe unafikiri mkwala nlotoa hapa mdogo mtoto kachanganyikiwa baada ya kukufanya we kijakazi",Joe anabaki kulalamika huku akimbishia juu ya hiyo namba kuwa ni fixi tu,baada ya hapo kila mmoja anaendelea na kazi."Leo mama wawiliumechemka ,maharage hayana chumvi haya leo",Joe anamkosoa mamantilie anaewahudumia chakula kila siku,"Haya jamani ndugu zangu nmewasikia mnisamehe wadogo zangu","Karimu nlipie hapo ntakurudishia ela yako nyunbani","Na iwe kweli mana nakujua kujishaulisha",Karimu anamjibu na kumsihi kuhusu kulipwa ela yake nae Joe anamtoa shaka.Wakiwa wanaelekea nyumbani kupumzika njiani wanapishana na wanawake watatu,"Mmmh! si ntafilisi mtaji kama mambo yenyewe ndo haya",Karimu anamcheka Joe kwa kustaajabu kwake,Babuu vitu vinawenyewe hivyo ,wenye pesa ndo wanawatuliza hao,si tule kwa macho","Dah kweli!",Joe anaitikia kwa unyonge.Kila mmoja anarukia kitanda kwa uchovu walionao.Uwoga unampanda pale anaposhuhudia kumuona mwenzie akiibaka maiti ya kike,mwili mzima unamtetemeka. Eneo lile likiwa limezingirwa na majeneza yaliowekwa pembeni huku yakiwa wazi na maiti za wanawake zikiwa nje bila mavaz yoyote.Anashtuka baada ya kuguswa begani,kugeuka ni sura za wale wadada wanaoulizia bei ya maembe,wakionekana kuoza mwili.Kwa kukosa ustahimilivu anajikuta apiga kelele na kudondoka chini ,muda huohuo mikono yake inaanza kuzama udongon ,"Maembe shngap we kaka",wale wadada wanaendelea kuuliza bei.........huku wakisindikizwa na vicheko vyao.TUKUTANE SEHEMU IJAYO.......

Wednesday, 22 April 2020

April 22, 2020

The Lion of Zelabia English Story on iLvStories


The Lion of Zelabia

Once upon a time, there was a terrifying lion who lived on the island of Zelabia.
The lion was so terrifying, no one from the town of Shela, across the water from the island, would go there.
One day, a rich merchant offered a $100 reward to anyone who would sleep alone on the island of Zelabia. For a long time, no one would accept the merchant’s offer, because they were too afraid of the lion, but finally one man, who was very poor, accepted.
He told his wife of his plan, and though she was afraid for him, she agreed that they needed the money too badly for him not to go.
So when her husband left for the island, she went down to the shore and lit a fire, so he could see it from the shores of Zelabia and not be so afraid.
The next day, the man returned and went to the merchant to claim his money, but the merchant refused to pay, since the wife’s fire had kept the young man from being afraid.
The young man became very angry, and went to the sultan to tell him he had been cheated. But the sultan wanted to retain the favor of the rich merchant, and so he agreed with the merchant that the wife’s fire meant the young man had not earned his reward.
As the young man left the sultan’s palace, a wise man stopped him and asked what had happened. The young man told the wise man his story, and the wise man agreed it had been unfair.
“If I help you recover your money, what will you give me?” the wise man asked.
“I will give you one third of the money,” the young man answered. So the wise man agreed to help.
The next day, the wise man invited the sultan to his house for lunch. Before he arrived, the wise man told his servants to put all the food into pots, and to light fires far away from the pots, and not put the pots onto them.
The sultan arrived, and for many hours he and the wise man spoke, but no food was brought.
“Where is our lunch?” the sultan asked.
“It is not ready yet,” the wise man answered, “but I will tell my servants to stoke the fires and turn the meat so that it is ready soon.”
Another hour passed and still the sultan had not been served. Again he complained, and again the wise man told his servants to stoke the fires and turn the meat.
After another hour, the sultan was very hungry. Furious, he demanded that the wise man show him to the kitchens.
The wise man led him there, and the sultan saw that the pots of food were very far away from the cooking fires.
“You cannot cook food like this,” he bellowed.
“Of course you can,” the wise man answered. “It works in just the same way as the fire worked for the young man who visited you in court yesterday.”
The sultan immediately saw the sage’s meaning, and ordered his officers to tell the merchant to pay the young man. So the young man got his $100, and in the end, the wise man did not even take his part of the reward.
April 22, 2020

A love story made in Tanzania Swahili Story