iLove Stories

A Free Portal for Read online Stories

Latest

Friday, 1 May 2020

HATIA-01 and 02 Full Story in Swahili Language by iLvStories


HATIA-01
"OFUNKWE OSHANAA! OFUNKWE OSHANAA!",ni sauti za kiume zikinena kwa pamoja na kuendelea kuyarudia mara nyingi,lenye maana ya kuwa ULITAKALO NA LIWE. Mavazi marefu meusi yalioficha miili yao na kuonekana nusu uso kwanzia pua mpaka kidevu,vishindo vya makoleo vikisikika kuchimba shimo. Watu watano wanafanya shughuli ya uchimbaji. Anaonekana kijana mmoja mtanashati mwenye mwili wa kuvtia wenye misuli mikubwa kiasi.
Baada ya muda linapatwa kutolewa jeneza na kufunguliwa na mmoja kati ya wale wenye mavazi anamvisha cheni na kamba shingoni yule kijana.
Kwa hali ya ujasiri yule kijana anaingia ndan ya lile jeneza lenye mwili wa mwanamke na kuubaka mwili.
Huku wale watu wakinena,"OFUNKWE OSHAANAA!",kila mara.......
TUKUTANE SEHEMU IJAYO.......





Msongamano wa watu ni mkubwa huku zikiwa zmetawala shughuli za kibiashara za nafaka,mazao,mbogamboga n.k."Oya vipi mzee baba",salamu za watu wawili walioshibana sana."Mwanang leo biashara ngumu hadi saa tano hii mzigo upo vilevile!","Baba! We acha tu".Kwa muda ukimya unawatawala,"Eeeh nmekumbuka vipi kile kiswaswadu cha jana ulimaliza kazi mdogo wang au ndo kumbwela"."Karimu daah kwa kuchunguza mambo wewe aah!",bila kutarajia kila Joe anabaki mdomo wazi akiduwaa."Maembe unauza bei gani we kaka ,usikii au ?","Oya wewe vipi wateja huwaoni ama?",Karimu anamshtua mwenzake.Wale wadada wawili wanashauriana kwenda meza nyngne ila Karimu anawaomba radhi na kuwahudumia bila tatizo nao wanaridhika ila Joe akiwa bado anawashangaa."Mwanangu unatatizo gani ? ,mpaka wateja wanataka kuondoka!","Inamaana ujaona ama,af kwanza Karimu sijapenda yani mi ndo unaniita kijakaz wako wakat hii ni biashara yangu".Katika mazungumzo yao Karimu anamshtusha Joe kwa kuchangamkia fursa na kupata namba ya mmoja wa wale wadada,ila Joe anambishia ,"Wewe unafikiri mkwala nlotoa hapa mdogo mtoto kachanganyikiwa baada ya kukufanya we kijakazi",Joe anabaki kulalamika huku akimbishia juu ya hiyo namba kuwa ni fixi tu,baada ya hapo kila mmoja anaendelea na kazi."Leo mama wawiliumechemka ,maharage hayana chumvi haya leo",Joe anamkosoa mamantilie anaewahudumia chakula kila siku,"Haya jamani ndugu zangu nmewasikia mnisamehe wadogo zangu","Karimu nlipie hapo ntakurudishia ela yako nyunbani","Na iwe kweli mana nakujua kujishaulisha",Karimu anamjibu na kumsihi kuhusu kulipwa ela yake nae Joe anamtoa shaka.Wakiwa wanaelekea nyumbani kupumzika njiani wanapishana na wanawake watatu,"Mmmh! si ntafilisi mtaji kama mambo yenyewe ndo haya",Karimu anamcheka Joe kwa kustaajabu kwake,Babuu vitu vinawenyewe hivyo ,wenye pesa ndo wanawatuliza hao,si tule kwa macho","Dah kweli!",Joe anaitikia kwa unyonge.Kila mmoja anarukia kitanda kwa uchovu walionao.Uwoga unampanda pale anaposhuhudia kumuona mwenzie akiibaka maiti ya kike,mwili mzima unamtetemeka. Eneo lile likiwa limezingirwa na majeneza yaliowekwa pembeni huku yakiwa wazi na maiti za wanawake zikiwa nje bila mavaz yoyote.Anashtuka baada ya kuguswa begani,kugeuka ni sura za wale wadada wanaoulizia bei ya maembe,wakionekana kuoza mwili.Kwa kukosa ustahimilivu anajikuta apiga kelele na kudondoka chini ,muda huohuo mikono yake inaanza kuzama udongon ,"Maembe shngap we kaka",wale wadada wanaendelea kuuliza bei.........huku wakisindikizwa na vicheko vyao.TUKUTANE SEHEMU IJAYO.......

No comments:

Post a Comment